Jana kuna tukio sijalielewa Kagera v Simba
Mchezaji wa Simba kipindi cha pili kaxheza faulo nje ya box akiwa mtu wa mwisho halafu refa kapuliza filimbi kisha kamlamba kadi ya njano....yaani bora refa angejausha kuliko alivyofanya
Labda sijaona vizuri km hakuwa mtu wa mwisho
.....