Yaani sijui ni kwa nini uko katili hivi. Mi nikilia we ndo unacheka. Nakuhakikishia kuwa kuna siku nawe utalia nami nitakuwa nacheka. Tena mi ndo nitakuwa nakuliza...