Makapuku Forum

leo sitaki kupost ujinga kabisa ila nauliza tu swali...hivi vyombo vya habari huwa vinaoshwa??

miss u baby Isha

jamani me ni mshabiki damu wa man united hivi kuna shabiki mwenzangu humu??

naelekea uwanjani

viva forever kapukus

Glory Glory Manchester United
 
Nimewamis wapendwa,mbarikiwe sana sana.


Malkia wa nguvu[emoji123][emoji123] hapa makapuku mbarikiwe sana sana Mungu abariki kazi za mikono yenu.


Nawapenda sana makapuku ninyi ni familia yangu Love you sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…