Makapuku Forum

Hahahah unapotea sana hadi wanyang'anywa
 
Clkey yanini uumize moyo wako kwa kiumbe ambaye anamilikiwa na kiumbe mwenzio wakati viumbe tupo apa wenyekujua kucare viumbe tafadhar clkey fikiria mala mbili mbili kuhusu ujio wangu kwako
Nitakubalije kushindwa kiasi hicho bwana, tulia hadi atoe talaka ndo nitajua kweli kadhamiria kuniacha otherwiseeee bado sijakubali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…