Makapuku Forum

 
Okay.. Nyagei naomba muongozo tafadhali


Mwongozo ni mrefu huo,
unajua kusoma na kuandika?
Una cheti cha kuzaliwa?
Unaweza kuongea, kuandika, kusikia na kuelewa maneno/maandishi ya kiswahili?
Hata kama juwezi kuelewa, je unaweza kusikia maneno ya kiinglishi?
Unajua hesabu za kujumlisha na kutoa (humu kuna zile hesabu za kumbukumbu za Mussolin5
 
Hivyo vyote havina shaka.. ila cheti ninacho cha ubatizo tu
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…