Hujaelewa somo[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Obe ww sio wa kumsikiliza lee nakwambia
Aya mpwa [emoji85][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Nisimsikilize mjomba unataka nipazwe? Ngoja nimsikize nitakupa mrejesho
Ww mbona hujaweka
Nilivokua single hajantaka...saizi ndo anakazana????
Aya mpwa [emoji85][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Ntakumiss [emoji22][emoji22][emoji22], upweke ni kama dondandugu! Please come back soon my sun&moonWakuu niliwatembelea kidogo make Siku nyingi
Badi tuko wote wakuu
Nitunzie Queen wangu ....baby take care soon ntarejea
Ntawamis all kapuku kwa mda
Vyuma vimekazaahahaha mkuu uchaguzi utaanza upya huku
Ntasubirinahisi ukirudi queen atakua si wako tena
Watu wakiona huwa wanaanza kufananaIlaaa weweee
TumuombeeSnipes njoo unaitwa na mama mchungaji
Hahahaa! KomoaUzi umetembea sana, inabidi nisome yote, nalikomoa bundle 😀
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kuna biashara nyingine mbali na hayo machungwa inaendeleaQueen Kan nakuona nakuona ujue
...
Nimechekaa mpaka kidogo nipumue. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]Nimecheka lkn kweli hivi angekufa hela itarudi vipi
Malkia unaniangusha hata huulizi anaenda wapi ujue wewe ndio mlinzi wake Mungu kakukabidhi..acha mzaha kwenye mahusianoNtakumiss [emoji22][emoji22][emoji22], upweke ni kama dondandugu! Please come back soon my sun&moon
I'll be waiting[emoji7][emoji7][emoji7]
Na mimi mwenyewe...kasema nimtunzie penzi lakeUtunziwe mke?na nani kwa mfano
[emoji23]Hiyo kwenye profile yangu unadhani ni katuni?
Soma chache maana mitandao ya simu wanachotufanyia siku hizii mmmh[emoji23][emoji15]Uzi umetembea sana, inabidi nisome yote, nalikomoa bundle 😀
It really pays from zero to hero
unanitafuta?Aje hapa madhabahuni