Utakuta mitandao ya kijamii mingi tu. Kama Facebook, Twitter, insta, na watu kutwa ni kutukanana tu kuchambana kukushifu viongozi wa kitaifa na mambo mengine ya hovyo kabisa. Ila kidogo humu jamii forum kuko powaa kiasi fujo siyo nyingi kama kule insta.