Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Mkuu Obe karibu umepotea sana tumekumissShunie, pole kwako kwa changamoto ya mwili. Utapona with love
Njema mkuu za siku...Za leo mpendwa
All the Best mummy tutakumis piaJamani baadae kidogo...ntawamisimo
Livi nakuja wangu kuna vijikazi namalizia
Naww pia
Amen Amen ubarikiwe mkuu siku njema
Good morning Kapuku's
Bom dia Kapuku's
Bonjour Kapuku's
Habarini za asubuhi Kapuku's
Daima amani na upendo wa Mungu baba ukakae nanyi watoto wake... Amen
Asantee mkuuLeo katika Historia:
Niwatakie Sabato njema.
Awww[emoji9][emoji9] nimerud mumie, vipi hali yakoAll the Best mummy tutakumis pia
Aya kama hutaki sema....yaliyopita si ndwele tugannge yajayo🙂
Morning Lee asante kw magazeti,hajambo Shunie mpe pole Mungu amponye mbarikiweMorning wakùu ,ni matumaini tuko wazima kabisa wa afya na shunie anashukuru kwa Sara zenu
Ipitie link ya magazeti ya Leo
http://millardayo.com/mgmarch25/
Ww mbona hujawekaAcha woga
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante mama mchungajiiiMorning Lee asante kw magazeti,hajambo Shunie mpe pole Mungu amponye mbarikiwe
NimekomaNajua hilo but nilitaka tu kukuonyesha madhara ya utani mwingine
Leo katika Historia:
1947 - Sir Elton John anazaliwa.
Mwanamuziki nguli kutoka nchini Uingereza.
Unawajua wachina??? We mponze mwenzioIchoo lazimaaaa
Mtoto unamuonaaaaa???
Kaumbikaaaa
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]