Makapuku Forum

1972 - Christophe Dugarry anazaliwa.

Straika wa zamani wa Milan, Merseille, Barcelona, Birmingham City na timu ya taifa ya Ufaransa.

Alikuwepo kwenye kizazi cha Dhahabu kilichotwaa Kombe la Dunia mwaka 1998 katika ardhi ya nyumbani kisha miaka miwili baadae ubingwa wa Euro 2000.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…