Zaidi ya mwendokasiNi speed kali I see
Wee muacheeKakosa speed gavana
Mm mwenyewe ilinichukua muda kuwazoea ninyi
Si tunaondoa stress mazeee ila hakuna ubaya sio mkuuUnaongea sana tatizo
Hua haziondolewi style hiyoSi tunaondoa stress mazeee ila hakuna ubaya sio mkuu
Sawa mkuu nimekuelewaAlafu nyie ndo mnaenda majukwaa mengine kuwa kapuku tunaringa
Kuwa mtulivu apa kila mtu ni sawa
Naona unamnyapia-nyapia hiviUnamcheka shunie mkuu
UmezidiiiiShunie [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji15]ila diktekta kuna pendeza ukienda mbudya uwe na wifi [emoji85] halaf mnabeba vinywaji vyenu vyote mnavyotaka kunywa peke ako utaboreka
Iyo mbio uliotokanayo apo ni kama unakimbizwa na gari za mwendokasi kunani?[emoji125] [emoji100]
njoo na mwendo wa kobe usitake uje leo kila room uijue taratibu utapaelewa humu endelea kusafiri nasiStoki ila naona kama wananichoka hivi
Acha mikwala ww Shunie ni wakwetu soteUmezidiiii
Ntakupa ban kama hujui mm ni moderator uku
sawa dearKwangu sio kwako maa
upiIla dear huo unyanyasaji wa kijinsia
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Nawaona nawaona mnakula tuu mitama ya RC [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa!
Naona soudy Brown yuko kwa lee leo..
BwahahahahaaaaaUmezidiiii
Ntakupa ban kama hujui mm ni moderator uku