Kama hizi:
Ni gani arfu?
Uko mukide chalii?
Ni full -mzuka eroo!
Nina arosto na weed kinyamaaa!
Acha mambo zako za old-skuli basi arifu..
Tafuta kibunda eroo acha kuleta shazi..
Mimi sianyi bamzi yaani! Hebu nitoe korocksi ya 400 hapo chaap..
chuga slangs kwa hisani ya emmyta