Makapuku Forum

Huyu bashite kafika mwisho naskiliza clouds waandishi wa habari walikua na mkutano wao wamekubaliana wote wasiandike habari zake zozote wala kurusha kwenye tv naiona tanzania mpya
Umekunywaa omo??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Unaangaliaa tv wapi hivi hujaenda kinondonii ??

Uzalendo umenishinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…