Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,268
Mkuuu mbona baby kasema hakujuiHey shunie umeamkaje my dear
1992 - Ubalozi wa Israel nchini Argentina walipuliwa huko jijini Buones Aires na kuua watu 29 na kujeruhi watu 242.
Morning le mukongoGoodmorning family
Uzuri katiba yao iko wazi atapigiwa kura vivyo hivyoNaona figisu za siri kali kwenye TLS, wanataka kumweka Lissu ndani asiwepo kwenye uchaguzi!!!
TANGANYIKA LAWYERS SOCIETYHey guys naomba mnisaidie kitu.
Mimi hua sio mfatiliaji wa siasa na mambo yake yote, hivi hiyo TLS nini?
Sawa ila kaa nae mbaliWw hata ukivaa dela shunie you are still no. 1
Pozi linamtoaa bashite koromijemmh usiniambie na hii nitoe mana haionyeshi paja wala mguu nguo ya heshima
Sio Kapukuku johMorning kapukuku... nadhan nyote wazima
1939 - Giovanni Trapatoni anazaliwa.
Kocha wa Kiitaliano ambaye amezinoa klabu kadhaa kama Juventus, Inter Milan, Ac Milan, Bayern Munich na timu ya taifa ya Italy.
Ndiye kocha mwenye mafanikio zaidi katika historia ya Seria A.
Ulishangazwa?baby santee kwa magazeti haya msiotaka kuoa mabinti wa watu mshapata visingizio hahaha hii kali cheti tena cha kuzaliwa jana nilicheka sana nilivyoona kwenye taarifa ya habari
Inaonyesha half frogmmh usiniambie na hii nitoe mana haionyeshi paja wala mguu nguo ya heshima
Hatari kumbe kweli ni gaidi wa chini chini1970 - Sakata la My Lai Massacre nchi ya Marekani yawachukulia hatua za kinidhamu Wanajeshi wake 14 waliohusika katika mauaji hayo.
Katika sakata hilo Wananchi wa Vietnam wasio na hatia waliuwawa zaidi ya 400.
Wahusika walipatikana?1992 - Ubalozi wa Israel nchini Argentina walipuliwa huko jijini Buones Aires na kuua watu 29 na kujeruhi watu 242.