Makapuku Forum

kwema msukuma za koromije, pole sana kwa ban aisee hiyo kitu naiogopa.
Koromije kwema. Tena nimekuja na zawadi yako. Sijui hata utakavyoipata (Lee upo?)

Ban inasaidia. Ukiwa kama mimi ambaye JF ndiyo social media pekee ban inakufanya ufanye mambo mengine na inaweza kuwa sober house ya kuondokana na uraibu wa JF...
 
Utakuwa ulimsema mtoto Wa mfalme Sizonje Daudi Bashite

.......
Kuna mtu alikuwa anataka picha ya ugonjwa fulani hivi unavyoathiri kiungo fulani cha binadamu (siyo cha siri) basi nikaiweka hiyo picha na angalizo juu kuwa ile picha ilikuwa ni for educational purposes only tena kwenye jukwaa la madaktari. Bado nikalimwa ban ndeeefuuuu! Hovyo kabisa.
 
Hakuna demokrasia hapa duniani. Pengine ile ya wakazi wa Athens ya kale waliokuwa wanakutana wote pamoja katikati ya mji na kufanya maamuzi yao kwa pamoja ndiyo ilikuwa demokrasia. Nyingine hizi mbwembwe tu. Afadhali hata kuwa na lidikteta lenye uchungu na nchi kama liDuterte kuliko hii demokrasia yenye maluweluwe!
 
Koromije kwema. Tena nimekuja na zawadi yako. Sijui hata utakavyoipata (Lee upo?)

Ban inasaidia. Ukiwa kama mimi ambaye JF ndiyo social media pekee ban inakufanya ufanye mambo mengine na inaweza kuwa sober house ya kuondokana na uraibu wa JF...
hahahahh msukuma ww ban inipite tu na hao wanaopewa life ban aisee mpk ufungue I'd nyingine
 
itakua ugonjwa wa bawasiri huo
 

Dikteta ni Dikteta tu siyo lazima aingie madarakani kwa mtutu na kuvaa gwanda za jeshi

Huu mfumo wa kuchagua viongozi tuliorithi kwa wakoloni Wa kimagharibi pia unazalisha madikteta mfano ipo siku chizi atagombea na kushinda uchaguzi 7bu ya uwingi wa kura alizopata matokeo yake kila siku kutatawaliwa na vitimbi
........
 
Nahisi ulipost makalio

.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…