damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,465
Yap wapo makini
Yap wapo makini
Muungie tuu kapuku mnasaidiana.Lete hela ya bundle unadhani atakuunganisha bure![]()
Ha ha ha ha!! pole mkuu hii ni mizuka tu.. Heshima ya Jf itarudishwa na MAKAPUKU. Wao wakisaga chupa sisi tunamwaga ti.ndi kali
Married, a parent of a lovely baby girlKuuuumbe
Nafahamu lakini mpaka uwajue utakua umeshuudia mengiSiwatafuti kwa nia mbaya....wapo wengi tuu...nadhani ingependeza kuwajua...
Daraja mbili Ngalelo.....![]()
![]()
tabasamu juu ni meza ya mabrotheeer, DONT BOTHER
toto mbili tatu kutia ladhaaaaaa
DONT BOTHER
Naona unaweka taarifa kabisa,Married, a parent of a lovely baby girl

Ha haaa.... Kapuku acha kuzingua...Married, a parent of a lovely baby girl
Mbona umekaza sana!!??Haya mambo ni ya FB,hapa JF ni fikra pevu.
Nataka niwajuee.... Ha haaaNafahamu lakini mpaka uwajue utakua umeshuudia mengi
Tafwazali bwanaa, wewe umeshapika niniHa haaa.... Kapuku acha kuzingua...
Hivi Leo umepika? Maaana kapuku forum imekuchukua

Hivi sumbai ni kimasai?Nataka niwajuee.... Ha haaa
Yani sasa unataka tukusaidieje?Haya mambo ni ya FB,hapa JF ni fikra pevu.
Hawasikii hata uandike kwa herufi kubwa PM ziko pale paleWeee, si unajua tena.![]()
![]()
Tujifunze kupotezea jamaniYani sasa unataka tukusaidieje?
Mbona thread ziko nyingi tu,kama vipi pita hivi!