Hivi huyu alitawaliwa nae?1918 - Jiji la Moscow lachaguliwa tena kuwa Makao Makuu ya Urusi baada ya Jiji la Saint Petersburg kuhudumu kwa miaka 215 kama makao makuu ya Nchi hiyo.
Alichaguliwa lini?1933 - Wakati wa Kipindi cha Mdororo wa Uchumi ( World Economic Depression ) Rais wa Marekani Franklin D. Roosevelt anahutubia Taifa hilo kwa mara ya kwanza.
Anakuwa wa ngapi?1993 - Janet Reno anaapishwa rasmi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani.
Tamu saaana,
Historia tamu
.......
Ahsante sana mkuu Mussolin5Leo Katika Historia:
Niwatakie Jumapili njema.
Sipati picha kwa sasa kukoje huko
Enzi hizo
....
Tunatawaliwa ndio maana
Juzijuzi tu wamentimua mwingine
Waafrika tuna mikatiba mibovu Rais anatawala km mungumtu
.......
Cc chattle
Ujumbe murua kabisa
Double cola na Coca-Cola ni kampuni tofauti?
Historia tamu
.......
Asante kwa leo katika historia mkuu mussolinLeo Katika Historia:
Niwatakie Jumapili njema.
shemela wake shunie nimekumiss mpk naumwaShemela wangu uko poa?
Mimi pia nimekumisi shemela wangushemela wake shunie nimekumiss mpk naumwa
Double cola na Coca-Cola ni kampuni tofauti?
Tofauti ipo ww ndo hujaionaTamu saaana,
Chupa ya 1915 haina utofauti na ya 1991
Haaahaaa
Yeah
Hawana undugu ni km Makonda na Bashite
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
uko poa sanaMimi pia nimekumisi shemela wangu