1937 - Juvenal Habyarimana anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa awamu ya 3 wa Rwanda.
Aliuwawa yeye pamoja na Rais wa Burundi baada ya ndege waliyopanda kwa pamoja kulipuliwa wakiwa wanatokea Dar Es Salaam.
Jamaa leo wamefikisha miaka 200.
Babu mzaa babu mzaa bibi ana hisa huko
......
1947 - Floretino Perez anazaliwa.
Ni Injinia na mfanyabiashara kutoka Hispania.
Ndio Rais wa sasa wa klabu ya Real Madrid.
Sera yake ni kununua wachezaji wenye majina makubwa katika Real Madrid.
Kwa nini mkuuAiseee ngoja Leo nipahame humu kwa muda
Mmenishambulia nyote humu haadi najiona nipo jangwaniKwa nini mkuu
1990 - Asier Illarramendi anazaliwa.
Kiungo mkabaji wa zamani wa Real Madrid ambaye kwasasa anakipiga Real Sociedad na timu ya taifa ya Hispania.
Ndio mchezaji mdogo wa Hispania kununuliwa kwa kiasi kikubwa cha pesa na Real Madrid akitokea Real Sociedad kabla ya kuchemsha vibaya na kurudi tena Real Sociedad.
Alifananishwa na mkali wa zamani wa Real Madrid, Xabu Alonso kwa aina yake ya uchezaji.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa Real Madrid mwaka 2013/2014.
Ooooooooh kisa paprika ???Mmenishambulia nyote humu haadi najiona nipo jangwani
Siku hizi wapiganaji ni mabishoo
Siku hizi kuna ngumi laini laini
.....
Inasemekana mzee mkubwa Kagame alihusika.
Kulikua na mkono wa Kagame?
....
Plus muuza dawa.
Angekuwa Bongo angeitwa mpiga dili na zengwe juu
....
Lee jioni kama kawa mkurugenz am outUtawapendaa wangapi?,
- Siku ya Kimataifa ya Wanawake.
Ni siku inayoadhimishwa Dunia nzima, kupinga ukatili na unyanyasaji wa Wanawake.
Ilianzia Urusi baada ya Wanawake wa Urusi kuchoshwa na unyanyasaji dhidi yao huko Viwandani , hali iliyopelekea kuanza migomo na maandamano ili kutetea haki zao.
Harakati hizo zilipelekea kutokea kwa Mapinduzi ya Urusi ya mwaka 1917.
Yeeeeeeaàaaaaah mida yetuLee jioni kama kawa mkurugenz am out
OkYeeeeeeaàaaaaah mida yetu
[emoji19] [emoji19] [emoji19]Anakudanganya ujue
Shemela wetu kwa mkuuu Quigley tumekumis[emoji19] [emoji19] [emoji19]
Nimehama huko!!! Niko kwa Mondray. Ndugu yenu alipunguza makeoShemela wetu kwa mkuuu Quigley tumekumis
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]