Makapuku Forum

Niliona motion fulani aliyoianzisha sizzya007 ilikuwa na matumaini mno maana hata Jimena kama vile alianza kung'ata ng'ata kucha kiaina na siunajua mrembo akianza kung'ata ng'ata kucha ni dalili njema sana..
Ni kweli mwanzoni Jimena alikuwa ameanza kulegea lakini sijui nini kilitiokea jamaa akapigwa za mbavu.
Nahisi kijana mgumu sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…