Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
Leo katika Historia:
1959 - Fidel Castro aingia madarakani kama Kiongozi wa Nchi ya Cuba mara baada ya kuangusha utawala wa Dikteta Batista katika Mapinduzi ya Cuba.
1962 - Mafuriko Makubwa yatokea huko Ujerumani Magharibi na kuua watu 415 huku Watu 60,000 makazi yao yakiharibiwa vibaya.
1968 - Namba ya simu ya dharura ya 911 yaanza kutumika huko Alabama, Nchini Marekani.
Bwanaaaabwaaaaaaaaah mshengaShilawadu, Shilawadu nakuona unakula tuu ubuyuu[emoji23] [emoji125] [emoji125]
Shukrani DiktetaLeo katika Historia:
Sina la ziada, jioni njema.
1985 - Hezbollah yaanzishwa.
Ni chama cha jihad kinachopatikana huko Lebanon.
1952 - James Ingram anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
1987 - Hasheem Thabeet anazaliwa.
Ni mchezaji ea Mpira wa kikapu kutoka Tanzania aliyewahi kukipiga katika ligi ya NBA.
1964 - Bebeto anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Brazil aliyeshinda Kombe la Dunia mwaka 1994 .
Anakumbukwa kwa kutengeneza Kombinesheni hatari na Romario katika kombe la dunia mwaka 1994 hali iliyopelekea kutwaa ubingwa huo.
Licha ya ushirikiano wao ndani ya Uwanja uliozua gumzo, Nje ya uwanja walikuwa hawaongei kabisa jambo ambalo liliwashangaza wengi.
Pamoja mkuuShukrani Dikteta
Hazeeki
Babyface
....
Mh haya buanahapana shemela mm na ww [emoji23] sema tu wananichekesha