Makapuku Forum

Hiyo treni si wangefanya mpango ifike Dodoma tu ndo ingeleta output ya kutosha naona kwa speed hiyo Morogoro ni Lisa lisaa 1 na dakika 50
Wagogo bwana!!!
Umeambiwa haitafika? Muwe mnafuatilia habari kwa umakini badala ya kusikiliza mihemko

Serikali imesema inajenga kwa awamu/stage hicho kutoka Dar to Moro ni kipande tu kisha kuna Moro to Dom, Dom to Tabora zen Tabora to Mwanza n.k au hujui umbali wa reli ya kati....hizo sehemu zitajengwa na wakandarasi wengine tenda zitafunguliwa April
.........
 
Hahahaaa! Bitoz unakejeli wakwe zako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…