Makapuku Forum

Mawe=kazi nzitonzito

Mkuu najua hilo niliongea kiutani tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
.......
Kazi nzito nzito ndiyo hasa zinazotakiwa kwa mwanaume popote alipo. Imagine nimekwenda kwa Trump wiki mbili hatimaye ishu niliyokuwa nahangaika nayo kwa muda mrefu ikaitika...and more to come [emoji126][emoji126][emoji126]. Sasa hata nikianza "utani" na Shunie mambo siyo mabaya [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Haya subiri mafuriko ya wadada PM
Watakusifia hadi sharubu
[emoji102] [emoji102] [emoji102]
.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…