Makapuku Forum

Makapuku Forum

...aka Lufufu yule mtafsiriaji wa nachi za kihindi na movie za kichina, anavyoeleza na kujisifu utasema ndo kachimba msingi.

Ngoja nisikize hutba ya rais wa Uturuki na harakati za kuondoa mizizi ya Gullen.
Hawezi kuuondoa mzizi wa Gullen, yeye mwenyewe ni tawi la Gullen, Sasa akipambana na mzizi na yeye lazima aathirike tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom