Makapuku Forum

...zinatofautiana na shatiz za yulez jamaa yetuz wa mjiniz? Maana shati lake linafunika Vist
Pia huyo anayeshinda after school bash ana damu ya Kinyaki(kwa mama)
Pensi lake nasikia linatosha kutengenezea turubai
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
 
Sema jana ndo katia fola kaitwa kwenye sherehe na jirani wakati huyo jirani hana kadi ,ndo sijui walimtimua??


Ha hahahhahah, hivi nilisahau kuleta mrejesho!?
Ilikuwa hivi; jirani aliyenikaribisha anafahamiana na mpishi Alli Mapilau so tuliingia kama wapishi wasaidizi (MY-mind you; shida yetu ni kula na si kusheherekea mambo yao)
Kifupi tulifanikiwa na tulipiga mpunga na vinywaji kama mabosi vile na MA (Mission Accomplished)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Oooooraaaaaaaaaitaaaah bhinamuuu ...mujiniiii mipangoooi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…