Ila ni kweli, kuna jamaa kondakta wa hiace nimeambia jana mchana kakorofishana na mpenzi wake, baada ya mda kidogo akaamua kunywa maji ya betri na kupoteza maisha.