Kumbe ni hivyoMsimamizi wa jukwaa(moderator) anaijua kazi yake......
Mi ninachojiuliza ni lini Jf itaweza kuwa km YouTube yaani thread ikifikisha idadi fulani ya views mfano 1m Views kungekuwa na malipo Fulani hii ingeleta ushindani wa watu kuanzisha vitu vyenye akili na mvuto mfano mi napenda na kujua masuala ya mitindo/mavazi lakini jukwaa husika niliweka thread 3{moja mod aliifanya sticky) halafu nikagundua kuna mablogger "wanaiba" thread zangu tangu hapo nikaacha kuanzisha thread maana Blog zinalipwa kwa jasho/ubunifu wangu
Kwa wasiojua hata WhatsApp ukianzisha ujumbe/video/picha ikisambaa kwa kiwango fulani unalipwa ndio maana utasikia "tuma kwa watu 10" wale siyo wajingawajinga wanajua wafanyalo
........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inawezekana wakawepo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ooh, kama kuipenda au kuishabikia hapo sawa!Loooooooh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila nilisema mapema naipenda Senegal
Aksante kwa uchambuzi Mr. leePamoja mkuu ,ndo raha yetu kapuku kujuzana taarifa japo wengi hawatupendi kama nini
[emoji4]Nilikuwa naye jana,Leo atapata baga kuku
[emoji87] [emoji134]Heeeee makubwa haya
Ukisaidiwa je
Hata sijaelewa[emoji85]
Nyingine[emoji85]
Upo serious nikutafsirie ?Hata sijaelewa[emoji85]
Apo ndo Utajua umuhimu wa baadhi ya watu kama Madame SUpo serious nikutafsirie ?
Ulienda shule kukopa ubuyu wa unga na big G & bagia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.......
Yes, Tafsiri.....poa haina shida mzee wa msuli.....me kwanza kiinglish changu nimejifunza kwa mwalimu Juma learning centreUpo serious nikutafsirie ?
Ww utakuwa ulienda shule kukopa ubuyu wa unga na big G & bagia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.......
Yule jamaa alikuwa ni kiongozi wa kampuni ya Ulinzi ya Morgan Stanley katika Jengo la Kimataifa la Biashara New York,alitabiri mlipuko wa mwaka 1993 na shambulio la mwaka 2001Yes, Tafsiri.....poa haina shida mzee wa msuli.....me kwanza kiinglish changu nimejifunza kwa mwalimu Juma learning centre
MhhhmhhhhTafakari ya kirat ;
Utaelewa tu pappaaHata sijaelewa[emoji85]
TupooTrump team mpooo
Hahaaaaa, dah haya ni majaribu, unataka nikutukane halafu nifungwe?Kama umesomea procurement, account, business au marketing, kwa ngazi ya diploma au degree, na haujapata ajira ,na upo tayari kusign mkataba wa miaka 2 hadi 3, na upo tayari kufanya kazi dar,mbeya ,arusha,mwanza na dodoma basi iyo ni shida yako mm hayaniusu.