...mdada wa Kisovieti (soviet red army) sasa Russia, msomi wa shahada mbili za Historia, alikufa mwaka 1974 na miaka miwili baadaye picha yake ilitumika katika stamp kama kumbukumbu. Nimeongezea tu

LEO KATIKA HISTORIA: 1915: Manowari za Ujerumani zilifanya mashambulizi ya mabomu 50 dhidi ya Uingereza na kusababisha vifo vya raia wanne. Mabomu hayo hayakuwa na madhara makubwa kwa kuwa yalitua zaidi sehemu zisizokaliwa na watu.
1906: Uingereza iliitwaa Rasi ya Tumaini Jema iliyopo Afrika Kusini ambayo ilianzishwa na wakoloni wa Kireno mwaka 1652. Harakati za kuitwaa zilianza mwaka 1795 baada ya Uingereza kushinda vita dhidi ya Ureno.
LEO KATIKA HISTORIA: 1981: Marekani na Iran zilisaini makubaliano ya kuwaachia raia 52 waliokuwa wametekwa na wanafunzi ambao ni wafuasi wa mapinduzi ya Wairani. Siku moja baada ya kusainiwa kwa makubaliano hayo waliachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa siku 444.