Wazima aiseeWazima humu?
4GWazima humu?
Poa kabisa, ugweno wazimaPoa, adje pande hizo?
Wazima aisee
Basi mwororoh[emoji3]
Migombani, Sasa na kijani hiyo useme Kuna njaa kweli [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Naona mtelezo hadi homieMigombani, Sasa na kijani hiyo useme Kuna njaa kweli [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Lala ukueNawatakieni usiku mwema makapuku wote
Gaga nuiteTulihoyi!
Bcc makaveli10Cc jimena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*WAZAZI PELEKENI WATOTO SUNDAY SCHOOL PLIZ!!!*
TEACHER: Nani aliua Goliath ?
STUDENT 1: Sio mimi.
STUDENT 2: Sikuwa shule jana. .
STUDENT 3: Mimi sijui. (The teacher went and told the headmaster ati watoto wa hiyo class hawajui nani aliua Goliath. ... the headteacher storms to the class.)
HEADTEACHER: Nani aliua Goliath?
CLASS: Sio sisi.
HEADTEACHER: Mkikosa kuniambia hii class itawaka moto.
CLASS: Hatujui.
The Headteacher turns and asks the teacher....'Uko sure Goliath aliuliwa na mtu wa hii darasa? ? -The teacher fainted... [emoji23][emoji23][emoji23]
Amemtagi jimena,,atakua anajua walipo
Haya....msalimu shemelaNawatakieni usiku mwema makapuku wote
Say goodnite to herGoodnight family
Okayhii makapuku ni zaidi ya ukapuku
131..K