Yaan hapa bado sijaamka na alarm yangu ambayo huwa inaniamsha niwahi kazin leo nimeitoa.Nawatakieni mapumziko mema ya mapinduzi ya Zanzibar (53yrs)
Uko poa mukongoGoodmorning family
Morning shululuuMorning all kapuku
Morng werrasonGoodmorning family
Na wewe pia mkuuNawatakieni mapumziko mema ya mapinduzi ya Zanzibar (53yrs)
Good morning mukongo ..ulimpitia babe BiteGoodmorning family
Morning too, vp pande hizoMorning shululuu
Asante sana kwa magazeti ya leo mkuu LeeUdakuuuuu.....![]()
![]()
Uko poa lakini mkuuAsante sana kwa magazeti ya leo mkuu Lee
Niko poa kabisa mkuu, vp Guangzhou wanasemajeUko poa lakini mkuu
Uku zongwendaba tuko poaNiko poa kabisa mkuu, vp Guangzhou wanasemaje
Tangu lini wapiga dili mnaenda kaziniYaan hapa bado sijaamka na alarm yangu ambayo huwa inaniamsha niwahi kazin leo nimeitoa.