Kuna jamaa hapa alikuwa anatoa ushauri eti Acheni kutongoza mademu wengine wakati bado mko involved na demu mwingine...jamaa kampa jibu eti kwani Ukienda kununua viatu unaenda peku? Nimecheka nusu nizimie...watu sijui huwa wanatoa wapi majibu khaaa
Najaribu kutafakari kama Mungu akisema tujichoree nyumba, gari na mke/mme nae atavifanya kua kweli... Sipati picha ulivyo hujui kuchora si utamiliki vinyago!!