Makapuku Forum

Makapuku Forum

lee uko mnyama or ndala?

na wewe shululu?
8da0faa4fba600f39ab01bd04c65cf9b.jpg
😀 😀 😀
Leo ndio leo anayesema kesho mwongo
 
Kuna jamaa hapa alikuwa anatoa ushauri eti Acheni kutongoza mademu wengine wakati bado mko involved na demu mwingine...jamaa kampa jibu eti kwani Ukienda kununua viatu unaenda peku? Nimecheka nusu nizimie...watu sijui huwa wanatoa wapi majibu khaaa
 
*Mkishaumizwa ndo utasikia, Moyo sukuma damu sio mengine. wakati mnapenda mlizani moyo ulikuwa unasukuma kinyesi!!!!!??????
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom