Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,420
Si kwa usafiri wa leoo abiria wa arusha - moshi mpo?
Asante..nawe pia usheherekee sikukuu kwa furaha na amaniMakapuku wote nawatakia maandalizi mema ya christmas

Na wewe pia kapukuMakapuku wote nawatakia maandalizi mema ya christmas
OyeeeeeeeeeeSimba. Hoyeeee
Ila mm yangaOyeeeeeeeeee
Poleee mkuu ..sisi tulijiunga kifurushi cha mwaka ..tatizo nyie mnaunga cha Siku tena saa tano usiku wakati kinaisha saa 6Ila mm yanga
Kweli haws yanga wazembe sanaaPoleee mkuu ..sisi tulijiunga kifurushi cha mwaka ..tatizo nyie mnaunga cha Siku tena saa tano usiku wakati kinaisha saa 6
Uko poa lakini kapuku ??Kweli haws yanga wazembe sanaa
Asante sana mtu mkubwaAsante..nawe pia usheherekee sikukuu kwa furaha na amani![]()
Ni poa sana vp kesho kula wap sikukuuUko poa lakini kapuku ??
Sijajuaa ila nikibarikiwa usingizi ntalala Siku nzimaNi poa sana vp kesho kula wap sikukuu
Pamoja mkuuNa wewe pia kapuku
Ameshinda ngapiSimba. Hoyeeee
HaaaahaaaaPoleee mkuu ..sisi tulijiunga kifurushi cha mwaka ..tatizo nyie mnaunga cha Siku tena saa tano usiku wakati kinaisha saa 6
Poa tu kiongoziNiajeee kapyungu
Na wewe pia mkuuNikutakie maandalizi mema ya xmas kama na wewe ni mshirika