Kila kitimu jeuri sana,kadraw na Azam mechi zote mbili....ndiyo timu iliyoivunja rekodi ya Simba kwa kuwafunga baada ya kutamba mfululizo raundi ya kwanza
Na leo kamuharibia Yanga ingawa raundi ya kwanza Yanga alishinda 3
.....