PappaaNo history needed![]()
Hb naona mambo sio mabaya ..mmtoko wa sikukuu nini??..tunaomba update
Wee kwa yanga hii wasingefanya hivyo mipira mitatu wangeokota munyavu!!!Lyon wamepaki bus halafu wana nidhamu(hawachezi faulo za kiboya)
Tatizo lao wanapoteza sana muda bila 7bu hadi wanakera
....
Oui PapaaPappaa
Ukooo byeeee?? Ukuuu kwa mtaa majamaaa kama iko mwagiwaa maji ya motooo hakuna makelele zaoOui Papaa
Ukooo byeeee?? Ukuuu kwa mtaa majamaaa kama iko mwagiwaa maji ya motooo hakuna makelele zao

Wameniharibia X masWee kwa yanga hii wasingefanya hivyo mipira mitatu wangeokota munyavu!!!
Ushabiki ni ulevi mbaya sana, ona mood imeshaharibiwa leo..... yaani!!!Wameniharibia X mas
Wameniudhi
![]()
![]()
![]()
......
Kila kitimu jeuri sana,kadraw na Azam mechi zote mbili....ndiyo timu iliyoivunja rekodi ya Simba kwa kuwafunga baada ya kutamba mfululizo raundi ya kwanzaUshabiki ni ulevi mbaya sana, ona mood imeshaharibiwa leo..... yaani!!!
..Life is that strange,haina formula!!Kila kitimu jeuri sana,kadraw na Azam mechi zote mbili....ndiyo timu iliyoivunja rekodi ya Simba kwa kuwafunga baada ya kutamba mfululizo raundi ya kwanza
Na leo kamuharibia Yanga ingawa raundi ya kwanza Yanga alishinda 3
.....
Una utani na team Kiber wewe!!!
Ahaaaaaaaah