Makapuku Forum

X MAS OFFER:
Natoa offer kwa watu 10 waje Mabibo Beach kula pilau la kambale mixer mbilimbi,pia kutakuwa na togwa,juisi ya miwa,mapapai na maparachichi ya Mabibo Sokoni(Mahakama ya ndizi)

Masharti:
*Chakula kitaliwa bila kunawa mikono
*Usiwe bishoo wala sista duh
*Uwe na uwezo wa kuvumilia harufu ya kimba la pale mabwawani
*Uwe na uwezo wa kupambana na panya road
*Ni lazima uhudhurie mkesha wa kigodoro

Karibuni
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
 
[emoji46][emoji46][emoji46]
 
Haya ma kapuku, yana bidii sana, mwisho sever yetu itajaa!!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Usafiri je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…