Angalia points .....
MTU anaweza kufungwa mechi 3 mfululizo lkn asishuke sababu bado ana point nyingi kuliko aliye chini yake
Mechi zote zinazotambuliwa na FIFA timu zinapewa point (win or draw),pia wa chini kumfunga aliye juu anapewa point kubwa
Mfano nchi ikijiunga leo FIFA basi itaanza na point
Hivyo zile point ni km likes zako za JF ...Leo ukipata likes 5000 halafu Mimi nipate 7 haimaanishi utakuwa juu yangu kwenye list ya TOP 10 sababu mimi tayari ninazo
80,000+
................
..........