Makapuku Forum

HBD Paul
 
Nilikuwa ndio msomaji wa vitabu vya kiingereza darasani,wenzangu wote walikuwa vilazza.😀😀😀😀😀😛😛😛
Mi nilikuwa najiumauma tu km JPM darasa zima linaangua kicheko

Tangu msingi nilikuwa najua kuchora picha/zamani/katuni ndiyo maana hadi leo napebda sana katuni
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
...............
 
Halafu hakuwa na Mboyoyo, Mkimyaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…