Na leo vipi bado hajashinda mtu huko kati ya trump na yule mama?Leo katika Historia:
1960 - John F. Kennedy anamshinda Richard Nixon katika uchaguzi mkuu wa Marekani.
Ni moja kati ya Chaguzi zilizovuta hisia za wengi kwani John F. Kennedy alishinda kwa tofauti ndogo sana.
Mkuu mambo![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaa katisha, umeniongezea siku za kuishi nimecheka sana bablai
1989 - Morgan Schneiderlin anazaliwa.
Ni kiungo mkabaji wa Man Utd na timu ya taifa ya Ufaransa.
Ushindi wa JFK ingekuwa ni Afrika full machafukoLeo katika Historia:
Sina la ziada, muwe na siku njema.
Kumbuka tofauti ya muda kwetu na USA ni km Massa 6 sisi yupo mbele hivyo muda huu kwao bado hawajaamka na kupiga kuraNa leo vipi bado hajashinda mtu huko kati ya trump na yule mama?
Ni tatizo la woteNmekuwa sipati notification kabisa, sasa sijui ni uninstall jf alaf nii-download tena?
Asante nawe piaUshindi wa JFK ingekuwa ni Afrika full machafuko
Mwisho ingeundwa Serikali ya Umoja wa kitaifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Ni kweli na majimbo mengine tunatofautiana masaa 8Kumbuka tofauti ya muda kwetu na USA ni km Massa 6 sisi yupo mbele hivyo muda huu kwao bado hawajaamka na kupiga kura
........
Nami sipati kabisaNmekuwa sipati notification kabisa, sasa sijui ni uninstall jf alaf nii-download tena?
Nawe piaNawatakieni asubuhi njema & all makapuku
Hata kura badoNa leo vipi bado hajashinda mtu huko kati ya trump na yule mama?
MorningMorning Quigley
AsanteNa wewe pia
[emoji120]Na kwako pia
HakikaNi siku nyingine tena ya uwajibikaji
Mara chache ndgShikamooni wandugu!!
Kweli mkuuKumekucha
Asante sana TetramelyzShukrani.. Nawe kazi njema
Asante sana kwa historiaLeo katika Historia:
Sina la ziada, muwe na siku njema.