Makapuku Forum

1978 - Rio Ferdinand anazaliwa.

Beki wa zamani wa West Ham, Leeds United, Man Utd, QPR na timu ya taifa England.

Alisifika kwa matumizi makubwa ya akili na uwezo wake mkubwa wa kuusoma mchezo.

Klabuni Man Utd alitengeneza kombinesheni ya hatari na Nemanja Vidic.

Ametwaa mataji 6 ya EPL na klabu bingwa ya Ulaya mwaka 2008.

Ni role model wangu na moja kati ya mabeki niliokuwa nawakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…