eti kisa umejiunga JF zamani bhasi ndo uanze kubinua binua midomo yako na kuleta dharau zako kwa aliyejiunga leo badala ya kumkaribisha kwa mikono miwili sasa bhasi kila kitu kina mwanzo na mwisho huku raha jamani yaani unaandika post huku unatabasamu uso umejaa bashasha za kutosha nitake nn tena