Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,400
Yap, japo Biko aliuwawa mapema, lakini mchangi wake ni mkubwa na bado anaenziwa vyema sana Afrika Kusini.Katika hao huwezi kumsahau Steve Biko
Wakati anachipukia alitajwa kama kijana mwenye kipaji kikubwa na ambaye angekuja kung'aa siku za usoni lakini wapi.
Pamoja mkuuAsante dikteta kwa leo katika historia bora kabisa
Weka picha
Wazee wa MarineLeo ni siku ya Jeshi la Wanamaji nchini Marekani.
Jeshi hilo linaanza rasmi leo kusherehekea siku hii kila mwaka.
Ndio![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We nae Avatar yako mbaya sana jamani mwe
DuuhView attachment 424935[emoji205] [emoji460]
Maana alishikwa hadi kooni presha kupanda na kushuka!Pressure yake imeshuka
Maisha tu best...mtu unakosa hata hamu ya kuchatNipooo......we ulipotelea wapii???
Nipo jirani yangu....nimekumiss sanaMorning, upo jirani
Vizuri kaka![emoji4]Niko salama sana dada
Asante sana kwa historia mwenyekitiLeo katika Historia:
Leo ni siku ya 300 na zimebaki siku 65 kabla ya mwaka huu kuisha.
Kwa udhamini mnono wa Shululu, ankali ake Jimena, tukutane kesho, muwe na siku njema.
Adios Amigooo...
PoleeMaisha tu best...mtu unakosa hata hamu ya kuchat
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh
Ila nimeipenda bure avatar yakooPolee
Niko bien VavalaiNiambie bablai...