Makapuku Forum

Katika hao huwezi kumsahau Steve Biko
 
1957 - Glenn Hoddle anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Tottenham, Chelsea na Monaco.

Pia ni kocha na aliwahi kuifundisha timu ya taifa ya England kwenye Kombe la Dunia mwaka 1998 kabla ya kujiuzilu mwaka 2000 baada ya kusema watu walemavu wapo na ulemavu kutokana na dhambi zao hivyo Mungu amewaadhibu.

Kauli hiyo iliibua mjadala mkubwa nchini Uingereza na ikapelekea Hoddle kupata shinikizo la kujiuzulu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…