Makapuku Forum

2015 - Uchaguzi Mkuu unafanyika nchini Tanzania na kumuweka madarakani Rais John Pombe Magufuli.

Katika Uchaguzi huo wa aina yake, Edward Lowassa wa Chadema na Ukawa mgombea aliyekuwa na anaungwa mkono na walio wengi alishindwa katika Uchaguzi huo ambao ulitawaliwa na matokeo tete yaliyokuwa yanatangazwa na Tume ya Uchaguzi ( Nec ).
 
No place for Ronaldo.
 
Aka Rubuva timu
 
Duh.. Kwa hyo siku 365 zishapita toka watu wapige kura[emoji15] [emoji15] .. Siku haziend bali zinaimbia duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…