Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
Leo katika Historia:
1969 - Oleg Salenko anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Russia.
1981 - Shaun Wright Phillips anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Chelsea, Man City na timu ya taifa ya Uingereza.
Phillips aliambiwa achezee arsenal akalinga1981 - Shaun Wright Phillips anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Chelsea, Man City na timu ya taifa ya Uingereza.
1984 - Katy Perry anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
RIP Abebe1973 - Abebe Bikila anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanariadha toka nchini Ethiopia.
Swalama, waambaajee!!?Habar ya asubuh makapuku
[emoji122] [emoji122] [emoji122] ...
Naona watoto wa vicente Calderon tumezizoa tuzo za kutosha...LA LIGA AWARD WINNETS
Mocha bora=Someone(Atletico)
Kipa bora=Jan Oblak(Atletico)
Mchezaji bora=Griezman(Atletico)
Beki bora= God in(Atletico)
Mshbuliaji bora= Messi(Barca)
Mchezaji bora LA liga wa dunia=Suarez(Barca)
Kiungo bora=Modric(Real)
Chipukizi bora=Asemsio(Real)
.......
For sure..Kwema
Bora uzima ......mengine yanatafutwa tu
.....
He deserve mbele ya rashid fuad koani
Renato Sanchez
European Golden Boy winner 2016
(mwanasoka bora chipukizi)
Kamshinda Rashford
..........
Moja kati ya wachezaji wafupi...1981 - Shaun Wright Phillips anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Chelsea, Man City na timu ya taifa ya Uingereza.
Sweetiepie ukuje huku mamii..1985 - Ciara anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Nadhan wenger ndio alizingua..Phillips aliambiwa achezee arsenal akalinga