Makapuku Forum

Domourinho hajifunzi
Fella nzuri km time imebaki tu basi maana ni mzito..... Km timu inashambulia hafai kabisa
Tusubiri mechi na City tionekm FALAini litapangwa tena maana linamfanya Pogba awe garasa
Tukutane asubuhi
Nina hasira
.................
 
Domourinho hajifunzi
Fella nzuri km time imebaki tu basi maana ni mzito..... Km timu inashambulia hafai kabisa
Tusubiri mechi na City tionekm FALAini litapangwa tena
Tukutane asubuhi
Nina hasira
.................
Aiseee Usiku mwema,
maana hata mm nmechafukwa sana.. na nnaona kabisa kuwa nneshaanza kujibu mbovu thread nyingine huko
 
Nilimtembelea rafiki yangu nyumbani kwake mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa karibu kusonga ugali.
Nikamtime wakati alipotoka nje, nikaongeza maji kwenye sufuria kumbe sikujua alipima maji kulingana na unga uliobaki. Sasa ikabidi tunywe uji huku hatuongeleshani.

kumbe maisha hayapendi ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…