Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
[emoji120] pamoja sana diktetaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Pele, Mchawi mweusi katika soka.
Nawatakia weekend njema.
2005 - Stella Obasanjo anafariki dunia.
Alikuwa ni mke wa Rais wa zamani wa Nigeria, Olesegun Obasanjo.
1992 - Alvaro Morata anazaliwa.
Ni straika wa Real Madrid na timu ya taifa ya Spain.
1978 - Jimmy Bullard anazaliwa.
Ni kiungo wa zamani wa Hull city.
Messi hapo anasubiri1940 - Pele anazaliwa.
Ni mwanasoka bora wa wakati wote kwa mujibu wa Fifa.
Ametwaa ubingwa wa Dunia mara tatu na kuwa mchezaji pekee kufanya hivyo katika historia ya Kombe la Dunia.
Pia aliwahi kuekti movie iitwayo " Escape to Victory " akiwa na akina Rambo, Bobby Moore na wengineo.
Shujaa wao1978 - Jimmy Bullard anazaliwa.
Ni kiungo wa zamani wa Hull city.
RIP2005 - Stella Obasanjo anafariki dunia.
Alikuwa ni mke wa Rais wa zamani wa Nigeria, Olesegun Obasanjo.
Asante mussolinLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Pele, Mchawi mweusi katika soka.
Nawatakia weekend njema.
1957 - Paul Kagame anazaliwa.
Ni Rais wa 6 wa Nchi ya Rwanda.
Licha ya kuwa kiongozi mbabe pia anatajwa kama mtu aliyeijenga vyema nchi hiyo hasa baada ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.
Huyu mama kifo chake kilisababishwa na urembo,2005 - Stella Obasanjo anafariki dunia.
Alikuwa ni mke wa Rais wa zamani wa Nigeria, Olesegun Obasanjo.
1940 - Pele anazaliwa.
Ni mwanasoka bora wa wakati wote kwa mujibu wa Fifa.
Ametwaa ubingwa wa Dunia mara tatu na kuwa mchezaji pekee kufanya hivyo katika historia ya Kombe la Dunia.
Pia aliwahi kuekti movie iitwayo " Escape to Victory " akiwa na akina Rambo, Bobby Moore na wengineo.
Yanga inanipa pressure, itabidi na sisi tuzilipe hizo..
Maana kitaa umechafuka now
Leo katika Historia:
1917 - Vladmir Lenin anaongoza mapinduzi ya Oktoba huko Russia.
Usikariri wewe..
Toto alichomfanya mnyama uwanja wa Taifa last season
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.....
Toto akocheza kikauzu km ndugu zao(Mbao) hamfungi hata kagoli kamojaUsikariri wewe..
[emoji2] Tulia uone
[emoji12] nasikia Yanga mnazilipa hizi team ndogo milioni 3 kila tunapocheza nao.Toto akocheza kikauzu km ndugu zao(Mbao) hamfungi hata kagoli kamoja
Akicheza kipuuzipuuzi mtashindi nyingi.....kumbuka magoli yenu mengi ni ya faulo,kona,penalty so wacheze rafu za mapema katikati ya uwanja
...............
[emoji2] Yani hapo unaomba sala zote ili Toto atupige