Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
Nini kilisababisha kuikataa?1964 - Jean Paul Satre anashinda tuzo ya Nobel katika Literature.
Lakini katika hali isiyotarajiwa anaikataa tuzo hiyo.
1947 - Mgogoro wa Kashmir waanza rasmi.
Ni mgogoro wa kugombania mpaka kati ya Pakistan na India.
1964 - Jean Paul Satre anashinda tuzo ya Nobel katika Literature.
Lakini katika hali isiyotarajiwa anaikataa tuzo hiyo.
1978 - Papa John Paul II anaapishwa.
Anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Papa John Paul I aliyfariki baada kudumu kama papa kwa siku 33 tu.
1929 - Lev Yashin anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani toka nchini Urusi.
Anatajwa kama golikipa bora wa wakati wote toka mchezo wa soka uanzishwe.
Pia alijulikana kama Black Spider kwa kupenda kwake kuvaa mavazi meusi tupu awapo uwanjani.
Yaani hao mgogoro wao ni kama Palestina na Israel.Juzi Kati hapa ulipamba moto sana
1939 - Joaquim Chissano anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa pili wa Msumbiji.
Hakupenda tuzo zinazoendana na mambo ya siasa ndani yake.Nini kilisababisha kuikataa?
Asante mussolin, uwe na Sabato njemaLeo katika Historia:
Zimebaki siku 60 kabla ya mwaka huu kufikia tamati.
Kwa udhamini mnono wa Kagera Sugar " Wanankurukumbi " niwatakie Jumamosi njema na sabato njema kwenu.
Ana kipara lakini pia ana busara sio kama yule wetu.
Amen.Asante mussolin, uwe na Sabato njema
Jembe1975 - Michel Salgado anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa kulia wa Real Madrid na rimu ya taifa ya Spain.