Pia mtu wako wa karibu anaweza kuijua ID maana kuna muda mtu unajisahau zen anakaa kimya anakuchora na kuja kuzingua post zakoUnaweza ukamzungua mtu kumbe ana umri sawa na babu yako.
Pengine unaweza ukazinguana na Mo dewji bila hata kumfaham.
Unaweza ukazinguana na rais, waziri bila hata kuwajua
JF imeleta usawa
humu kuna mtu na baba yake wanagombana bila kujijua.Unaweza ukamzungua mtu kumbe ana umri sawa na babu yako.
Pengine unaweza ukazinguana na Mo dewji bila hata kumfaham.
Unaweza ukazinguana na rais, waziri bila hata kuwajua
JF imeleta usawa
haaaa haa au akawa ndo lizanibo"Mpenda K"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
aiseem kama ndo huyo.Ukimchunguza halafu ukute ndo rayyoung kazi unayo
Wapost utumbo ndo wanaona aibu kufahamiana hata # za simu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Kuna pipo nazishangaa sana ID zao tu matusi,avatar tusi,post zao matusiaiseem kama ndo huyo.
nitamuwekea sumu.
Mzee wa MUHAS kumbe unapitaga humu kimyakimyaBarida sio kesi wala nini
Hii ni kwel kabisaPia mtu wako wa karibu anaweza kuijua ID maana kuna muda mtu unajisahau zen anakaa kimya anakuchora na kuja kuzingua post zako
Km unatukana na kupost utumbo Jf huwezi kuwa na amani na simu yako
......
anaitwa nani huku??Hii ni kwel kabisa
Eg. Mm fiance wangu alikiwa anaona kila akifungua pc yangu anakuta niko JF tu, ikabidi aniuloze huu ni mtandao gani, basi nikamwambia na nkamfungulia na yeye account humu.
Na huwa anakujaga hapa Kf, lakini bado hajanitambua[emoji23]
Ila kuanzia siku hiyo nkaacha kutumia pc kuingia Jf kabisa, sasa hv natumia cm niliyoigonga na password ya hatari
Kazidi huyu dogo naonaga post zake nyingi akiomba watu wapewe ban,wafutwe humu JF au akijitangazia ID zakePoapoa potezea
Tupo kiutani
.....
Mkuu hapa KF tupo kishikaji huwa hatutukanagi zaidi ya kurekebishanaKazidi huyu dogo naonaga post zake nyingi akiomba watu wapewe ban,wafutwe humu JF au akijitangazia ID zake
Simu yangu sijawahi kuweka password kwangu usumbufu tuHii ni kwel kabisa
Eg. Mm fiance wangu alikiwa anaona kila akifungua pc yangu anakuta niko JF tu, ikabidi aniuloze huu ni mtandao gani, basi nikamwambia na nkamfungulia na yeye account humu.
Na huwa anakujaga hapa Kf, lakini bado hajanitambua[emoji23]
Ila kuanzia siku hiyo nkaacha kutumia pc kuingia Jf kabisa, sasa hv natumia cm niliyoigonga na password ya hatari
utakuwa una michepuko huko whatsapp.Simu yangu sijawahi kuweka password kwangu usumbufu tu
Huwa sipost wala kuhifadhi uchafu
Nikichat na mtu mfano WhatsApp huwa nafuta nikitaka kuiacha simu mahali au sehemu ambayo simuamini mtu NALOG OFF kwanza Jf hata nikiwa na kademu kangu nafanya hivyo
............
[emoji40] [emoji40] [emoji40]anaitwa nani huku??
Umemchongea jamaa kapigwa banutakuwa una michepuko huko whatsapp.
ngoja ni mwambie shemeji.
Mm password lazima ilikuipa ulinzi simu yangu.Simu yangu sijawahi kuweka password kwangu usumbufu tu
Huwa sipost wala kuhifadhi uchafu
Nikichat na mtu mfano WhatsApp huwa nafuta nikitaka kuiacha simu mahali au sehemu ambayo simuamini mtu NALOG OFF kwanza Jf hata nikiwa na kademu kangu nafanya hivyo
............
Umemchongea jamaa kapigwa ban
Angalia avatar
Baadaye basi
................
Kweli aisee bora hivyoMm password lazima ilikuipa ulinzi simu yangu.
Ila kama fiance wangu nikiona anakuwa haniamini basi huwa ampaga simu yangu akae nayo hata mwezi mzima ila huku tayari nmesha-delete Apps zangu za muhimu
mmh hjiamini?Mm password lazima ilikuipa ulinzi simu yangu.
Ila kama fiance wangu nikiona anakuwa haniamini basi huwa ampaga simu yangu akae nayo hata mwezi mzima ila huku tayari nmesha-delete Apps zangu za muhimu
[emoji2] huyu jamaa wa Muhas nmefuatilia post zake,mmh hjiamini?