Ni mmoja kati ya walimu nnaowakubali zaidi waliowahi kuwepo hapa ulimwenguni3.Gautama Buddha;
alikuwa mwalimu wa kiroho kutoka India.
Kutokana na mafundisho yake, ulianzishwa Ubuddha ambao unatazamwa kwa kawaida kuwa dini.Katika mapokeo mengi ya Kibuddha anatazamwa kama Buddha mkuu wa wakati wetu, ambapo "Buddha" maana yake ni "aliyeamshwa" au "aliyeangazwa.
Miaka yake ya kuishi haina hakika: wanahistoria wengi wa mwanzo wa karne ya 20 walitaja miaka 563 KK hadi 483 KK hivi,lakini maoni ya siku hizi yanataja mwaka wa kufariki kati ya 486 KK na 483 KK au, hata kati ya 411 KK na 400 KK.
Gautama, anayejulikana pia kama Śākyamuni ("Mwenye hekima wa Śākyas"), ni mwalimu mkuu wa Ubuddha.
Nakumbushia tuKuna mshikaji wangu anapokea bumu 19000 kwa semester
[emoji23] anasema hiyo hela haitaki tena
Hamna namna, nyumbani kama dish linacheza.. mi bora urudi tuKuna baadhi ya wanachuo wa mwaka wa kwanza wameamua kurudi nyumbani
[emoji2] hivi gharama ya elimu iko huko chini au huku juu(high level - university)?Nakumbushia tu
[emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652]
Uchaguzi wa mwaka jana 2015 tulipewa option mbili kwenye suala la Elimu
(1). ELIMU BURE MPAKA CHUO KIKUU
(2). ELIMU BURE MPAKA FORM FOUR
watanzania waliowengi walichagua elimu bure mpaka form four labda walijipanga nakuona Elimu kuanzia Advanced mpaka chuo kikuu wanaweza kujigaramia. Nashindwa kuelewa ivi haya malalamiko yanayotolewa kwa wanafunzi zaidi ya 66 elfu kukosa mkopo yanatoka wapi.
Iko juu[emoji2] hivi gharama ya elimu iko huko chini au huku juu(high level - university)?
Leo tumefanya mabadiliko kidogoSijaona 1st eleven ya man inayocheza sasa hivi
Gharama za maombi ya mkopo na taratibu zote unazopaswa kuzifanya ni zaidi ya 80,000, ajabu unapata mkopo wa sh23,000[emoji2] hivi gharama ya elimu iko huko chini au huku juu(high level - university)?
Hongera sanaMarshal gooooool
Man u 2 - 0 fenabache
Bwahahahahahaaaaaa [emoji115] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ngoja nijiandae kwanza kisaikolojia[emoji39]
[emoji37] lazima nmlambe zaidi ya bao 5
..... ndio una kitu???[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Simba hawana kitu
Adje, .....yukwapi???[emoji15]Au ndio 1:4 nimesema tu
[emoji120] shukran kiongoz, ngoja tujifue huku ili tukirudi kwenye ligi tulete ushindani wa kwelHongera sana