Laiti hiyo time, power na concentration ungeiweka kwenye financial issues ungekuwa mlinionea Bongo.Huyu wangu kiboko.. Na ndio maana nafaid pekee yangu, michepuko inamshindwa.. Na anajua kuwa shughuli pevu, ananipikia msosi mzito maprotein ya kutosha, mazoez asubuh na jion..
Lait kama mazoez ninayofanya ningekuwa sidinyi hata kidog au nadinya hawa wa nusuu saa kwake adhabu, hope ningekuwa the strongest man kwenye dunia hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzungu sio mtu wa mchezo mchezo etii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani dai ana mughangha?Madrid fainali haion hata aende kwa mganga wa diamond..
Ushabiki bhana![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Tunawapiga tu
.....sio nzuri kwa afya yako!!!Asante sana kwa historia bepari
Udhamini hapo ndio nabisha. Umempamba sana huyo Messi
Mbona Ye kaweka yanga watu kimya, aah JJ umekuja kuwaje!!![emoji62]Messi amestahili udhamin wa leo..
Fullu haina kweraahMorning. Mambo niaje?
Kitafunio jino tu, vingine vyote vinasingiziwa...[emoji12] we dogo acha mazereu
Nyie endeleen kugombania hilo kombe la ligi alafu mlikose ndo mtajua kiazi pia ni kitafunio.
Sisi tumeshabeba ngao ya hisani, hvyo tynachokifuta machozi
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa ye karemba hadi basiMbona Ye kaweka yanga watu kimya, aah JJ umekuja kuwaje!!![emoji62]
Mie ndio nakwambia..Huwaga mnasemaga hv hv lakini mwisho wa siku ananyanyua kombe
[emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] waaaah
Af wewe! Sa maswali gun how yoh!!!Hivi we ni shemla wangu kwa ex au Briii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa ye karemba hadi basi
Wewe iuwe misuli tu uje kupata manfongo, shaur lako.. Wenzio pale tumeumbiwa sisi.. Muumbaji mwenyewe aliona hilo swala akamleta eva au unadhan kwanin baada ya kumuona adam mnyonge hakumuumbia peter ampe kampan, akampa eva.. Dudu killer wee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyie endeleeni kukimbizana na sehemu mlipotokea(kuzaliwa)
[emoji12] nawaambieni HAMTAPAWEZA kamwe..!
Quigley si mtu wa spotispotYote yanawezekana
Nipe maudhui yake kidogo..Usahihi...asiyetaka kufanya kazi na asile
Mie ni milionea wa nafsi, roho, na akili.. Nmeridhika hapa nilipo... Hayo mengine waachie wakina bakhresa although bado nina nafasi kubwa cz umri unaruhusu, akili ninazo na nguv ipo ya kutosha...Laiti hiyo time, power na concentration ungeiweka kwenye financial issues ungekuwa mlinionea Bongo.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mie sijui bhana.. Nimeropoka tuu[emoji23] [emoji23]Kwani dai ana mughangha?
Imemchoma kama pasiMbona Ye kaweka yanga watu kimya, aah JJ umekuja kuwaje!!![emoji62]
Nawe remba hadi trekta kama yeye karemba hadi basiSasa ye karemba hadi basi