Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Me mwenyew nipo naelazima nimpate,nipo nae PM now

Kitambo sanaLeo katika Historia:
1922 - Shirika la Utangazaji la Uingereza " BBC " laanzishwa.
BBC ilianza na upande wa matangazo ya Radio tu kabla ya kuja kuanzisha matangazo ya Televisheni.
Siasa za mbelez(USA) hazina utofauti na za kwetu.
Vipi kiuchumi tumelingana nao?1991 - Azerbaijan yatangaza Uhuru wake toka kwa USSR.
Leo katika Historia:
1922 - Shirika la Utangazaji la Uingereza " BBC " laanzishwa.
BBC ilianza na upande wa matangazo ya Radio tu kabla ya kuja kuanzisha matangazo ya Televisheni.
duh long long agoLeo katika Historia:
1922 - Shirika la Utangazaji la Uingereza " BBC " laanzishwa.
BBC ilianza na upande wa matangazo ya Radio tu kabla ya kuja kuanzisha matangazo ya Televisheni.
Watakuwa wametudhidiVipi kiuchumi tumelingana nao?
[emoji2] Sasa watuzidi vipi wakati sisi ndo tulipata uhuru kabla yao?Watakuwa wametudhidi
Duu kitambo....Leo katika Historia:
1922 - Shirika la Utangazaji la Uingereza " BBC " laanzishwa.
BBC ilianza na upande wa matangazo ya Radio tu kabla ya kuja kuanzisha matangazo ya Televisheni.
kwann alimuua1933 - Lee Harvey Oswald anazaliwa.
Alimuua Rais wa Marekani wa kipindi hiko John F. kennedy.
Naye aliuwawa siku mbili baada ya kumuua JFK.
Tena sio kidogoWatakuwa wametudhidi
1945 - Kikundi cha wanajeshi wa Jeshi la Venezuela linaandaa mpango na kufanikiwa kumpindua Rais wa nchi hiyo Isaias Medina Angarita.